31 December 2010

Tajiri nambari moja duniani atua Arusha

*Awasili uwanjani KIA na ndege nne binafsi
*Yuko na wafanyabiashara wakubwa hamsini
*Pesa yake ni bajeti ya Tanzania mara nane

Na Said Njuki, Arusha
 
TAJIRI namba moja duniani, Bw. Mukesh Ambani (53) (pichani) raia wa India amewasili nchini jana alfajiri kimyakimya kwa safari ya
kitalii.
Tajiri huyo aliwasili jana saa 10.15 alifajiri Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akiwa na ndege nne binafsi akifuatana na wafanyabiashara wakubwa zaidi ya 50.

Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na mmoja wa waratibu wa safari hiyo hapa nchini, Bw. Godfrey Famandes zimeeleza kuwa lengo la safari yake ni kutembelea hifadhi za taifa, hususan Hifadhi ya Serengeti.

Bw. Ambani kwa mujibu wa mitandao mbalimbali ya kimataifa ndiye tajiri namba moja akimiliki dola za Marekani bilioni 63.2 (zaidi ya sh. trilioni 90), akifuatiwa na Carlos Slim Helu kutoka Mexico mwenye dola za Kimarekani bilioni 62.2993 na Mmarekani William Bill Gates akifuatia kwa karibu akimiliki dola za Marekani bilioni 62.29.

Katika kundi hilo dogo la matajiri watano duniani nafasi ya nne inashikiliwa na Warren Buffett kutoka Mexico ambaye anamiliki dola 55.9 na kufuatiwa na Lakshmi Mittal wa India mwenye kitita cha dola bilioni 50.9.Akizungumza na njia ya simu jana, Bw. Famendes ambaye ni Mkuu wa Oparesheni wa Kampuni ya Gapco Tanzania ambaye pia ndiye msemaji wa kampuni hiyo na mwenyeji wa
tajiri huyo, alikiri kuwasili kwa tajiri huyo na kusita kuzungumzia safari hiyo zaidi.
 Safari yenyewe ni ya binafsi zaidi, hivyo sina cha kukueleza zaidi ya kukuthibitishia kuwa ni kweli amewasiliĆ¢€¦sina uhakika na idadi ya wafanyabiashara aliofuatana nao, alisema Bw. Famendes kwa njia ya simu.

Habari zaidi kuhusiana na safari hiyo zimeeleza kuwa tajiri huyo pamoja na wenzake wamewasili Hifadhi ya Serengeti, ambayo ina hadhi ya urithi wa dunia, na tayari jana walifanya mzunguko wa kwanza wa kutembelea hifadhi hiyo na kujionea maajabu ya dunia ya hifadhi hiyo.
 Kuja kwa mfanyabiashara huyo na wenzake na fahari kubwa kwa Tanzania, kwani ni kielelezo kuwa tayari dunia imeanza kujua vivutio tulivyo navyo, nchini na umuhimu wake duniani, alisema mmoja wa wakurugenzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) huku akisizitiza kuwa hana habari lakini akiahidi kufuatilia ujio huo.

Bw. Ambani alizaliwa Aprili 19 mwaka 1957, huko Aden (Colony of Eden) sasa Yemen akiwa na uraia wa India. Kwa sasa anaishi Antilia, Mumbai Maharashtra na mke wake Nita Ambani, wakiwa na watoto watatu, Akash, Anant na Isha

Alisoma Chuo Kikuu cha Mumbai na baadaye Stanford, Uingereza. Kwa sasa ni Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reliance Industries chini ya Ambani Group of Campanies.

57 comments:

  1. Joseph Kaaya
    Washington DC 4545
    USA.
    Kama mwandishi kabla ya kutoa wasifu wa mtu kuna mitandao migi inayohifadhi kumbukumbu za dunia. Hii ni list ya matajiri wa dunia.World Billionaire Number 1 Carlos Slim Helu
    World Billionaire Number 2 William Gates III
    World Billionaire Number 3 Warren Buffett
    World Billionaire Number 4 Mukesh Ambani
    World Billionaire Number 5 Lakshmi Mittal
    World Billionaire Number 6 Lawrence Ellison
    World Billionaire Number 7 Bernard Arnault
    World Billionaire Number 8 Eike Batista
    World Billionaire Number 9 Amancio Ortega
    World Billionaire Number 10 Karl Albrecht
    More...
    Nashangaa unampa ujiko huyo Muhindi. Au kwakuwa kaja TZ ndo maana. Fanya uchunguzi achana na ushabili unaliletea aibu Gazeti letu. Pia fatilieni kaja kufanya nini hao ndo wanaoziujumu nchi masikini.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umefanya vizuri anon hapo juu. Waandishi wengine hata elimu hawana. Wanaandikia uzoefu. Huyu Njuki namfahamu. Elimu yake ni ndogo sana hivyo anachoandika ni halali yake. Hana taaluma ya kufanya utafiti zaidi ya kusikia fununu. Kwanini asijielimishe kuepuka aibu hii?

      Delete
    2. Open Letter From Valerian Family!
      Dear all in the name of Jesus our Lord and savior.

      I have been keeping quiet for some times, but Jesus calls us all to use our intuitions and speak out the truth and only the Jesus kind of truth that he died on the cross for. I'm Valerian Family member and I had the greatest opportunity to talk to him every other Sunday, and I saw him in his last days fading away. It was the hardest thing to see a fellow human being going through. Only Lord God Jehovah can understand the pain and anguish of his passing, yet the kind of things this young family is going through, sadly from the very people who are suppose to guide and protect this young family.

      The history is as bad to the point that Some Balthazar Family members got so hateful and jealous to ask publicly "Why there is no death in the Valerian's Family? OR "why none of the Valerian's children are dying like ours?". This is kind of things that growing to this level can lead such hatred to deceive people and take matters on their hands to cause death, as they wish it so bad. But what they dont understand, there is God and that the widow, Mama Pendo, was a nurse first before she became a teacher, who could health identify problems of her kids at very early stage and seek medical treatments. While some family members, possibly, were going for traditional medicine and possibly let sickness grow on to their children beyond repair. But when faith is involved you cannot just fade it away as simple as i explained above, or just wipe out the decades of hatred. We need help and that help is from the institution like yours. More payers and God given guidelines. We need it desperately.

      We have a problem. It is problem rooted in the Chagga People Tradition of invading widows' home and oust them and their children to fend for themselves after the father, head of the family as God divinely granted them, passes away. This is done without remorse and no one, even the most educated and or exposed to the Western Civilization Culture life style are doing it and or witnessing it in their own families and don't say or do a thing about it, in spite of their knowledge that is not the right thing to do. It is bothering because I know my mother in-law and I know Auntie Florentina Masawe and Bernadin Marselian Masaawe and I have see and studied their moves. There is an issue of Uru People against Women from Marangu and married in Uru. It is hateful and dangerous and need your and our attention all
      This instrument of spreading the word of God can be used wisely and justly to become an agent of change and change that is needed now. Unfortunately, the laws are so vague and have so much gray area that the devil is using them to advance the oppression against widows and the vulnerable.

      You see, God gave us everything to better our relationship with him, but the devil as master minder, manipulator in chief, lair, master musician, master negotiator and destroyer, uses the same world we were given by God through the free-will, including laws and traditions, to destroy us. That is the truth and that is the Jesus Kind Of Truth that Jesus was Crucified for on the Cross and ultimately die for, so we can be salivated. Understanding the truth and the world that we are living is the key path to God in Heaven.

      Please, visit this Link here and evaluate all the facts by yourself and see how God sent you to help in this. We need prayers because this is the spiritual warfare that need prayers than just laws, rules and regulations. The devil is riding up in here hard and we need all the prayers we can get. http://florentinamasaweinvadesvalerianhome.blogspot.com/

      God is great and keep on the good job of God. A we say Amen!!!!!!!!!!!!!

      Hope, on Behalf of Valerian Family.

      Delete
  2. Joseph Kaaya
    Washington DC 4545
    USA.
    Hii ni list ya mataiji kwa ukamili
    World Billionaire Number 1 Carlos Slim Helu USD 53.5 bl.
    World Billionaire Number 2 William Gates III USD 53 bl.
    World Billionaire Number 3 Warren Buffett USD 47.
    World Billionaire Number 4 Mukesh Ambani USD 29 bl.
    World Billionaire Number 5 Lakshmi Mittal USD 28.7 bl.
    World Billionaire Number 6 Lawrence Ellison USD 28 bl.
    World Billionaire Number 7 Bernard Arnault USD 27.5 bl.
    World Billionaire Number 8 Eike Batista USD 27 bl.
    World Billionaire Number 9 Amancio Ortega USD 25 bl.
    World Billionaire Number 10 Karl Albrecht USD 23.5 bl. Hizi ni takwimu za Dec 31 2010.
    More...

    ReplyDelete
    Replies
    1. We kicha ambani anamiliki 75 billion na asset 18 billion,ni tajiri namba moja duniani 2016;na nikwambie hosni Mubarak Ana 75 billion,Ali abdalla saleh 72 billion ,Putin 75 billion ,marehemu king abdallah wa Saudi Ana 166 billion,huamini kagoogle baba kama pesa za kuiba tu watu wanayo

      Delete
  3. which journalism school did u go to, my friend a journalist is a friend to research. do research if in did u need that job of yours??????

    ReplyDelete
  4. The fact that Ambani is in our country on private visit gives us pride! Let's dare not to ask him for support because such things are in one's heart like Bill Gates! Let's see what he will do before departing! Of course he would also like a show-off as Indian's favourite habit!

    ReplyDelete
  5. Keep an eye on him, I dont trust these people anymore coz they team up with our hungry/ greedy politicians to steal our resources.

    ReplyDelete
  6. Je, Rostam, Lowassa na Chenge wapo namba ngapi? Tusaidieni nyie watafiti

    ReplyDelete
  7. Wewe Joseph Kaaya unaonyesha una ubaguzi saana mwenzio hajazungumzia ni kabila hapo kuwa ni mhindi bali alisema raia wa India mzaliwa wa Aden Yemen anaishi Mumbai. Sasa wewe ungesema tu kua Mr Ambani katika listi ya matajiri ni namba 4, na pia utajiri unategemea mweye pesa nyingi, mwenye pato jingi NK sasa tusitafute kubishana wakati kila mmoja hajui mwenzie ametoa habari katika source gani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. N awewe hufai ulitaka huyo Mwandishi aendelee kutudanganya kuwa huyo ni tajiri No.1 tena ana mali ya 62 bn, au kwa vile kasema ni mhindi wa yemen
      mm nasema ni Mwarabu Mmahrana wala utajiri wake hauwezi kudumu kwani Mhindi huwa hatoi msaada wala Kodi, nafasi hizo Waarabu ni vigumu kuzishika kutokana na Roho mbaya

      Delete
  8. Huyu mwandishi sijui amepata wapi data zake. Makosa kibao. Fanya utafiti mwanangu !!!!!

    1 Carlos Slim Helu & family, Mexico, US$ 53.5 billion
    2 William Gates III, United States, 53.0 billion
    3 Warren Buffett, United States, 47.0 billion
    4 Mukesh Ambani, India, 29.0 billion
    5 Lakshmi Mittal, India, 28.7 billion
    6 Lawrence Ellison, United States, 28.0 billion
    7 Bernard Arnault, France, 27.5 billion
    8 Eike Batista Brazil, 27.0 billion
    9 Amancio Ortega, Spain, 25.0 billion
    10 Karl Albrecht, Germany, 23.5 billion

    11 Ingvar Kamprad & family, Sweden, 23.0 billion
    12 Christy Walton & family, United States, 22.5 billion
    13 Stefan Persson, Sweden, 22.4 billion
    14 Li Ka-shing, Hong Kong, 21.0 billion
    15 Jim Walton, United States, 20.7 billion
    16 Alice Walton, United States, 20.6 billion
    17 Liliane Bettencourt, France, 20.0 billion
    18 S. Robson Walton, United States, 19.8 billion
    19 Prince Alwaleed Bin Talal Alsaud, Saudi Arabia, 19.4 billion
    20 David Thomson & family, Canada, 19.0 billion

    21 Michael Otto & family, Germany, 18.7 billion
    22 Lee Shau Kee, Hong Kong, 18.5 billion
    23 Michael Bloomberg, United States, 18.0 billion
    24 Sergey Brin, United States, 17.5 billion
    24 Charles Koch, United States, 17.5 billion
    24 David Koch, United States, 17.5 billion
    24 Larry Page, United States, 17.5 billion
    28 Michele Ferrero & family, Italy, 17.0 billion
    28 Kwok family, Hong Kong, 17.0 billion
    28 Azim Premji, India, 17.0 billion

    31 Theo Albrecht, Germany, 16.7 billion
    32 Vladimir Lisin, Russia, 15.8 billion
    33 Steven Ballmer, United States, 14.5 billion
    33 Robert Kuok , Malaysia, 14.5 billion
    35 George Soros, United States, 14.0 billion
    36 Anil Ambani, India, 13.7 billion
    37 Paul Allen, United States, 13.5 billion
    37 Michael Dell, United States, 13.5 billion
    39 Mikhail Prokhorov, Russia, 13.4 billion
    40 Birgit Rausing & family, Sweden, 13.0 billion
    40 Shashi & Ravi Ruia, India, 13.0 billion

    42 Mikhail Fridman, Russia, 12.7 billion
    43 Jeffrey Bezos, United States, 12.3 billion
    44 Savitri Jindal, India, 12.2 billion
    45 Donald Bren, United States, 12.0 billion
    45 Gerald Cavendish Grosvenor & family, United Kingdom, 12.0 billion
    45 John Paulson, United States, 12.0 billion
    48 Abigail Johnson, United States, 11.5 billion
    48 Jorge Paulo Lemann, Brazil, 11.5 billion
    50 Roman Abramovich, Russia, 11.2 billion

    ReplyDelete
    Replies
    1. As if you are clever! If this 50 is what you believe, you are ignorant of the fact that there are more richer people who are not listed and dont get listed.

      Delete
    2. Open Letter From Valerian Family!
      Dear all in the name of Jesus our Lord and savior.

      I have been keeping quiet for some times, but Jesus calls us all to use our intuitions and speak out the truth and only the Jesus kind of truth that he died on the cross for. I'm Valerian Family member and I had the greatest opportunity to talk to him every other Sunday, and I saw him in his last days fading away. It was the hardest thing to see a fellow human being going through. Only Lord God Jehovah can understand the pain and anguish of his passing, yet the kind of things this young family is going through, sadly from the very people who are suppose to guide and protect this young family.

      The history is as bad to the point that Some Balthazar Family members got so hateful and jealous to ask publicly "Why there is no death in the Valerian's Family? OR "why none of the Valerian's children are dying like ours?". This is kind of things that growing to this level can lead such hatred to deceive people and take matters on their hands to cause death, as they wish it so bad. But what they dont understand, there is God and that the widow, Mama Pendo, was a nurse first before she became a teacher, who could health identify problems of her kids at very early stage and seek medical treatments. While some family members, possibly, were going for traditional medicine and possibly let sickness grow on to their children beyond repair. But when faith is involved you cannot just fade it away as simple as i explained above, or just wipe out the decades of hatred. We need help and that help is from the institution like yours. More payers and God given guidelines. We need it desperately.

      We have a problem. It is problem rooted in the Chagga People Tradition of invading widows' home and oust them and their children to fend for themselves after the father, head of the family as God divinely granted them, passes away. This is done without remorse and no one, even the most educated and or exposed to the Western Civilization Culture life style are doing it and or witnessing it in their own families and don't say or do a thing about it, in spite of their knowledge that is not the right thing to do. It is bothering because I know my mother in-law and I know Auntie Florentina Masawe and Bernadin Marselian Masaawe and I have see and studied their moves. There is an issue of Uru People against Women from Marangu and married in Uru. It is hateful and dangerous and need your and our attention all
      This instrument of spreading the word of God can be used wisely and justly to become an agent of change and change that is needed now. Unfortunately, the laws are so vague and have so much gray area that the devil is using them to advance the oppression against widows and the vulnerable.

      You see, God gave us everything to better our relationship with him, but the devil as master minder, manipulator in chief, lair, master musician, master negotiator and destroyer, uses the same world we were given by God through the free-will, including laws and traditions, to destroy us. That is the truth and that is the Jesus Kind Of Truth that Jesus was Crucified for on the Cross and ultimately die for, so we can be salivated. Understanding the truth and the world that we are living is the key path to God in Heaven.

      Please, visit this Link here and evaluate all the facts by yourself and see how God sent you to help in this. We need prayers because this is the spiritual warfare that need prayers than just laws, rules and regulations. The devil is riding up in here hard and we need all the prayers we can get. http://florentinamasaweinvadesvalerianhome.blogspot.com/

      God is great and keep on the good job of God. A we say Amen!!!!!!!!!!!!!

      Hope, on Behalf of Valerian Family.

      Delete
  9. Mhhhhhhhh, Ni CCM wamekundikiaa hii makala nini ? Maaana siamini kama mwandishi tena "professional" anaweza kuandika makosa mengi hivi.... Kitakachoweza tu kuingia akilini ni labda tu uniambie kwamba CCM WAMACHAKACHUA article yako!! Ha ha ha ha!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapana ni hiyo mizuzu ya chadema. Wana ufahamu mdogo na jazba nyingi! Hao ndio wenye hulka ya kibongo hasa!!!!

      Delete
  10. huyo tajiri mpaka kaijua serengeti atakuwa na interest zake,hapo ndipo atuchelewi kusikia serengeti imebinafsishwa.

    ReplyDelete
  11. Huyu ni mtu wa kawaida tu. Tena unaweza kukuta wamekuja kuiba nyani wetu. Usalama wa taifa kazi kwenu. Loliondo pia ilikuwa hivi hivi. Tunawasifia!!!!!, mpaka tunajisahau tunawaachia milango wazi

    ReplyDelete
  12. Hizo ndege nne binafsi zisije kuwa ni "operation nyakua wanyama na nyara".

    Ndege nne zitabeba kweli kweli. Tangu lini wa hindi na wa arabu wakamnufaisha mtu bure?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha ubaguzi. Inahusu nini kuwapaka matope wahindi na waarabu? Kisa? Njaa zako zisikufanye uwe na chuki na makabila ya watu lukuku.

      Delete
    2. Mbona we kiumbe unawapaka matope sana wahindi na waarabu,wazungu Jee hawaibi ndani ya nchi ye2 na kutufilis,acha upunguani,soma historia vizuri

      Delete
    3. Mimi sijui kwanini mnamtetea huyu Mwarabu wa Yamen aliyelazimishwa kubadili jina na huenda DINI
      huyu ni Mtalii tu wa kawaida hawezi kutuachia kitu chochote humu TZ ila kuja tu kuiba
      Huwezi mlinganisha na Billy Gate aliyekuja toa misaada na kuendeleza Elimu kupitia Microsoft Ulizia Kitengo cha IT huko UDOM
      wekeni ushahidi hapa ni kitu gani kakiacha huyo Mwarabu Mhindi (hawa watu hata Kodi au misaada hawatoagi ndio asili yao)

      Delete
  13. Yaani hamjachoka na matapeli wa kihindi! Mwandishi ni kihiyo wa kutupwa huyo si tajiri nambari moja dunina isipokuwa india. Huenda kwa mwandishi india ndiyo dunia nzima.
    Je Rostam na Lowassa ni wangapi bila kumsahau Chenge mavi matupu?

    ReplyDelete
  14. Sahihisho lingine ni kwamba Warren Buffett ni raia wa Marekani sio wa Mexico kama mwandishi alivyoandika.

    ReplyDelete
  15. Mukesh hajaja kuiba,GAPCO ni moja ya kampuni zake na kwa wakati huu ana-bid kuinunua BP Tanzania;tatizo wabongo wengi ni vilaza na wanafikiri biashara ni wizi!

    ReplyDelete
    Replies
    1. BP imeshanunuliwa wewe, mpaka sasa inamilikiwa na puma....

      Delete
    2. Open Letter From Valerian Family!
      Dear all in the name of Jesus our Lord and savior.

      I have been keeping quiet for some times, but Jesus calls us all to use our intuitions and speak out the truth and only the Jesus kind of truth that he died on the cross for. I'm Valerian Family member and I had the greatest opportunity to talk to him every other Sunday, and I saw him in his last days fading away. It was the hardest thing to see a fellow human being going through. Only Lord God Jehovah can understand the pain and anguish of his passing, yet the kind of things this young family is going through, sadly from the very people who are suppose to guide and protect this young family.

      The history is as bad to the point that Some Balthazar Family members got so hateful and jealous to ask publicly "Why there is no death in the Valerian's Family? OR "why none of the Valerian's children are dying like ours?". This is kind of things that growing to this level can lead such hatred to deceive people and take matters on their hands to cause death, as they wish it so bad. But what they dont understand, there is God and that the widow, Mama Pendo, was a nurse first before she became a teacher, who could health identify problems of her kids at very early stage and seek medical treatments. While some family members, possibly, were going for traditional medicine and possibly let sickness grow on to their children beyond repair. But when faith is involved you cannot just fade it away as simple as i explained above, or just wipe out the decades of hatred. We need help and that help is from the institution like yours. More payers and God given guidelines. We need it desperately.

      We have a problem. It is problem rooted in the Chagga People Tradition of invading widows' home and oust them and their children to fend for themselves after the father, head of the family as God divinely granted them, passes away. This is done without remorse and no one, even the most educated and or exposed to the Western Civilization Culture life style are doing it and or witnessing it in their own families and don't say or do a thing about it, in spite of their knowledge that is not the right thing to do. It is bothering because I know my mother in-law and I know Auntie Florentina Masawe and Bernadin Marselian Masaawe and I have see and studied their moves. There is an issue of Uru People against Women from Marangu and married in Uru. It is hateful and dangerous and need your and our attention all
      This instrument of spreading the word of God can be used wisely and justly to become an agent of change and change that is needed now. Unfortunately, the laws are so vague and have so much gray area that the devil is using them to advance the oppression against widows and the vulnerable.

      You see, God gave us everything to better our relationship with him, but the devil as master minder, manipulator in chief, lair, master musician, master negotiator and destroyer, uses the same world we were given by God through the free-will, including laws and traditions, to destroy us. That is the truth and that is the Jesus Kind Of Truth that Jesus was Crucified for on the Cross and ultimately die for, so we can be salivated. Understanding the truth and the world that we are living is the key path to God in Heaven.

      Please, visit this Link here and evaluate all the facts by yourself and see how God sent you to help in this. We need prayers because this is the spiritual warfare that need prayers than just laws, rules and regulations. The devil is riding up in here hard and we need all the prayers we can get. http://florentinamasaweinvadesvalerianhome.blogspot.com/

      God is great and keep on the good job of God. A we say Amen!!!!!!!!!!!!!

      Hope, on Behalf of Valerian Family.

      Delete
  16. Mnachobishana ni ujinga tu. waswahili kwa kujadili mambo ya wenzao ndio zao. zungumzeni mambo ya maendeleo yenu. kwani kuna ajabu gani kwa huyo tajiri wenu kuja Tanzania?. Cha muhimu akinunua nyani kwa njia tulizojiwekea, sioni tatizo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hivi wewe unajaribu kubishana na hao wenye vichwa vinavyochemka utawaweza? Ni wabishi hao wewe waanzishie tu. Wanaweza kukuambia TZ isiwe hata na Jeshi. Wote hawa wana digriii za siasa

      Delete
  17. Wote mmechemsha, hamjui ya kuwa hawa ndio wanaojulikana dunia nzima na tanzania kwa mwaka 2010.

    1)Rostam ...dola .... kazidi.
    2)Lowassa...dola... nihurumie.
    3)Chenge...dola.... Rais wa Afrika haogopi. jibu.

    ReplyDelete
  18. Name Citizenship Age Net Worth ($bil) Residence
    1 Carlos Slim Helu & family Mexico 70 53.5 Mexico
    2 William Gates III United States 54 53.0 United States
    3 Warren Buffett United States 79 47.0 United States
    4 Mukesh Ambani India 52 29.0 India
    5 Lakshmi Mittal India 59 28.7 United Kingdom
    6 Lawrence Ellison United States 65 28.0 United States
    7 Bernard Arnault France 61 27.5 France
    8 Eike Batista Brazil 53 27.0 Brazil
    9 Amancio Ortega Spain 74 25.0 Spain
    10 Karl Albrecht Germany 90 23.5 Germany
    11 Ingvar Kamprad & family Sweden 83 23.0 Switzerland
    12 Christy Walton & family United States 55 22.5 United States
    13 Stefan Persson Sweden 62 22.4 Sweden
    14 Li Ka-shing Hong Kong 81 21.0 Hong Kong
    15 Jim Walton United States 62 20.7 United States
    16 Alice Walton United States 60 20.6 United States
    17 Liliane Bettencourt France 87 20.0 France
    18 S. Robson Walton United States 66 19.8 United States
    19 Prince Alwaleed Bin Talal Alsaud Saudi Arabia 55 19.4 Saudi Arabia
    20 David Thomson & family Canada 52 19.0 Canada
    21 Michael Otto & family Germany 66 18.7 Germany
    22 Lee Shau Kee Hong Kong 82 18.5 Hong Kong
    23 Michael Bloomberg United States 68 18.0 United States
    24 Sergey Brin United States 36 17.5 United States
    24 Charles Koch United States 74 17.5 United States

    ReplyDelete
  19. Joseph Kaaya
    Washington DC 4545
    USA.
    Said Nyuki umeniaibisha,Mi natokea Arusha na nilitarajia kuwa Proud of you lakini imekuwa sivyo. Nilitarajia kwa comments zote hizi ungesema kitu kwa wasomaji wako kama samahani ila NO! Sasa jaribu kuomba basi kwakuwa utaonekana mwandishi jasiri.
    Kuhusu ubaguzi sina hata ila ni kweli kuwa Wahindi hawalisaidii chochote taifa kwanza hata pesa zao wanaweka bank za nje linajulikana hilo. Mtu kama Gates tumemfahamu kwakutoa misaada dunia nzima na angekuwa ndo kaja TZ ingekuwa furaha sana, Kuna anaebisha?Dodoma Unv ina mchango wa Gates Ila niambie kama kuna hata mmoja wenu anaetarajia lolote toka kwa huyo Mhindi. Samahani kama Nilikwaza mtu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kaaya upo sahihi kabisa, umenigusa ulipoelezea UDOM kitengo cha IT ni msaada wa Biily Gate
      huyu mwarabu hawezi asilani kutoa msaada wowote na km wanaushahidi wauweke hapa tangu alipoingia na ametoka alituachia nini?
      kmhakuja kuchungulia cha kuiba?

      Delete
    2. Hapana huyo bwana ni mbaguzi namba moja. Eti kwa mhindi huwezi kufaidi kitu wakati Rotary club ni ya Wahidi. Watz wanapelekwa india kila mwaka kutibiwa maradhi ya moyo.

      Delete
  20. Ambani received his doctorate in chemical engineering with a Bachelor of the University of Bombay from, after he completed an MBA at the Stanford Business School . Since 1981, he worked at Reliance and took over in 2002 after the death of his father as CEO.

    It is found since 2007 in the list of the richest people in the world by Forbes Magazine . 2010, this leads him with an estimated fortune of 29 billion U.S. dollars at # 4 [2] . Due to sharp increases in market prices of the shares held by him, he was according to press reports in October 2007 with assets of 63.2 billion U.S. dollars, the richest man in the world. [3]

    Antilia [ Edit ]

    Antilia the Altamount Road as seenEnd of 2010, Ambani his private house "Antilia" in the center of Mumbai belong to. The house is 173 meters high and offers 37000qm place. The property is home to include a private hospital and the car collection Ambanis, for the six floors are specially provided for. The British Telegraph estimates the value of the building to 717 million €. [4]

    According to a spokesman for Ambanis, the construction costs at 50 to 70 million U.S. dollars. [4] [5]

    many news media were reporting that the house the house are going first in the world, the U.S. dollar has cost a billion one, and thus private house in the world would be most expensive that. [6] The media gave the cost of house construction with 1 [7] to 2 [8] [9] billion dollars, making it the world's most expensive house would be. [10] A comparison with the currently highest building in the world, the Burj Khalifa , whose construction cost of 1.5 billion U.S. dollars estimated are close, points out that the cost estimates are significantly too high.

    ReplyDelete
  21. http://www.forbes.com/lists/2010/10/billionaires-2010_The-Worlds-Billionaires_Rank.html

    Acheni kulinganisha na kina Rostam na hawa jamaa katika hio list, huwezi kumuona mmoja wa wanoitwa 'matajiri' wa Tanzania hapa! Watanziania tujifunze mengi bado angalau katika huu mtandao!

    ReplyDelete
  22. http://www.forbes.com/lists/2010/10/billionaires-2010_The-Worlds-Billionaires_Rank.html

    Ila huyu ndie mtoto wa yule Dhirubhai Ambani aliehusika katika sakata ya Silaha Tanzania wakati Mrema alipokuwa Waziri wa Ulinzi!

    ReplyDelete
  23. HUKO NYUMA NILIANDIKA WATANZANIA NI WEZI SASA KWA UJINGA WAO WANAFIKIRI KILA MTU MWIZI. NIMESEMA WANAOANDIKA SANA MAFISADI WENYEWE NI WIZI WAKUU NA WENYE KUHUJUMU UCHUMI WETU KILA SIKU. NANI KASEMA MWIZI ANA RANGI? WACHAGA WANA RANGI GANI? ACHENI MAJUNGU KILA KUKACHA

    ReplyDelete
  24. KWA KWELI WATANZANIA WENGI WAO NI WEZI SANA. PIA WAKO AMBAO HAWAPENDI TABIA HIZI ZA WENZAO, BADALA YAKE SAMAKI AKIOZA MMOJA WANAONEKANA NI WOTE TU. INASIKITISHA SANA. NI AIBU HATA KUJINASIBU MTANZANIA WAKATI NWENGINE. SABABU YA WIZI WAO NI UDHAIFU WAO TOKEA AWALI. WANAPENDA KUIGA, HATA KAMA NI SIFA MBOVU ILI NA WAO WAHISABIKE "WAMEENDELEA". ZILE MILA MBAYA NA SIFA ZA NCHI KAMA NIGERIA WAO NDIO WAANAKOPI WANONA NDIO MAENDELEO. JAMANI!!! BASI MTU ASIWE MWAFRIKA MPAKA AIBE????

    ReplyDelete
  25. Hebu tuongee ki profession baina ya theories na practises. Ziko theories zinazosema "right place, right time" Kwa nyakati zilivokwenda huko nyuma kwa kweli suala la utajiri kuja kwa kustrike "Luck" was common. Kama huna luck, hotofika popote. Sasa Ukweli unaeleweka, Utajiri wowote hata wa Kizamani, sio Luck tu, Ufisadi ulianza zamani sana tu, ila sasa dunia ishachoshwa ndio unasikia, ethics na Business Conducts zinatajwa. Ukweli ni kuwa matajiri wote wanaiba au unethical. Wahindi (based on a recent research study) wao ni No. 1 kwa ufisadi DUNIANI. Sasa nataka mtu mmoja aseme kwamba na Huyu Ambani naye hayumo katika listi. Anakuja kufanya nini Africa kama si kuwatafunta wenye njaa na uroho kuiba. Keshaambiwa na wahindi wenzake wa Daresalam. Tusubiri tuone mali ya Tanzania iondoke bila ya sis kujua... Kwani Duniani muingereza ana Resovoir kubwa sana ya Gold, kapata wapi na nchi yake haina hata kipande cha mgodi? Sasa tuwache na wahindi wachukue tu. Wakubwa wetu wanapenda kukatiwa mahela na magari manene tu.
    Kina Bill Gate na Clinton wanatusaidia na tunaelewa. Tuone.......

    Wanyamwezi wangapi wamekaa katika mashamba ya matajiri wa zamani huko Zanzibar hatukusikia hata mmoja kaiba mali au shamba la mtu. Jamani!

    ReplyDelete
  26. Nyinyi wa Bongoland munanibowa kweli. Kwa kweli watu wenye kujua manbo wanazililia bahati kama hizi. Ni wakati wanapokuja matajiri na ma-invetors katika nchi ndipo uchumi hupata msukumo mara wanapoamua kuingia ubia au kuanzisha biashara katika nchi.

    Haikuwa Obama kaenda India na China kuwatafuta matajiri wainvest Marekani pamoja na utajiri wao. Sasa nyinyi munaridhika na watalii vishuka (backpackers} ati watai market Tz lakini in reality hakuna athari yeyote ya MAANA ya uchumi wanayoileta.

    Nakumbuka kipindi fulani Nyerere alipewa offer na USA ya Wakulima wawili (American farmers) kuboresha kilimo nchini na tungesahau matatizo ya upungufu wa chakula nchini.

    Nafasi kama hizi zisidharauliwe na kupuuzwa. Tuangalie faida ya watu kama hawa. Na ikiwezekana tuwatafute zaidi ya huyu mmoja kwani uchumi wetu unahitaji msukumo.

    ReplyDelete
  27. Nendani kwenye Google ndio mtapata kujua tajiri namba moja duniani ni nani. Hiyo ya Forbes haijarekebishwa siku nyingi sana. Tusibishane bure kuhusu hilo la nani tajiri zaidi duniani. Na kuja kwake kuna faida kwa Taifa kwa njia nyingi, moja pesa atakayotumia na wapambe wake kuna kodi hapo serikali inapata.

    ReplyDelete
  28. Nadhani hapa haitusaidii kujua ana nafasi gani au kiasi gani katika rasilimali zake. Cha muhimu ni kujua kuwa tokea tulipopata uhuru tumeshindwa kui-blance bajeti yetu na kuendelea kutegemea misaada kutoka nje.

    Hebu niambieni mpaka lini tutaweza kuwa na uchumi unaojitegemea na tubalance bajeti yetu.

    Mchangiaji mmoja hapa alisema tufanye System Overhaul akimaanisha tuwacheni cheap policies na stupid politics na tuangalie MASILAHI yetu kwanza - uchumi, biashara, uajiri, infrastucture, industrialisation, human developments, IT n.k .

    Huyawezi kuyapata hayo kwa kutegemea SADCC, EAC na wachina tu. Tufungue market economy baada ya kuweka misingi imara ya uwekezaji itayotupa masilahi wananachi na taifa kwa jumla..

    Sekta kama za Refineries, Gas & Oilfields. Aluminium smelters, Heavy industries zinahitaji mabilioni ya fedha ambayo kamwe hatuyaweza kuyafanya wenyewe.

    Kupata ziara kama za kina Ambani, Gates, Buffet, nk ni neema kwa nchi hii. Kwa kweli ikibidi hata viongozi wetu nao pamoja na mabalozi wetu wa nje wawe na deliberate efforts kuwashawishi watu kama hawa watembelee Tanzania.

    ReplyDelete
  29. Tanzania tujifunze kuwa wawekezaji toka nje siyo wabaya ila ni sisi kuingia nao 'mikataba mibovu' a.k.a ufisadi.

    Maana hata Uingereza, wawekezaji wa nje wamechukua timu bora za Uingereza kama Chelsea n.k. Hotel maarufu jijini London kwa jina Savoy imechukuliwa na mwana wa mfalme wa Saudia, Airport ya Heathrow London wa-Spanish wamechukua, viwanda vimechukuliwa na Wachina, Wahindi, Wajapani n.k.

    Lakini Uingereza inafaidika kutokana na wawekezaji wa nje na nchi ya Uingereza inaendelea kuwa na uchumi imara.

    Tanzania na watanzania kwa ujumla tujifunze kuweka masilahi ya watanzania mbele ktk mikataba na wawekezaji wa nje na siyo kuwalaumu, maana ukitaka kula lazima uliwe na hivyo pia lazima tuwale kiuchumi wawekezaji kwa mikataba yenye manufaa kwa nchi ya Tanzania na wananchi wa Tanzania.

    ReplyDelete
  30. naona tunaenda nje ya point.mwandishi katoa wapi ukweli wa utajiri wa bwana Ambani? waandishi wetu mara nyingi wanchukua habari mitaani. information zao sio evidence based. habari za kupotosha na kujenga zote wanaandika huwezi kutofautisha. hujui umbea ni upi ukweli ni upi helloooooo!

    ReplyDelete
  31. UJINGA UJINGA UJINGA INATIA HATA KICHEFUCHEFU KUSOMA HABARI ZINGINE,SASA WACHAGA TUWAPELEKE WAPI NAO NDIO WEZI WAKUBWA NCHINI MWETU? MWIZI HANA RANGI. HUYO TAJIRI KAJA KUJIPUMZIKIA HAPA NA BABA ZENU NA MAMA ZENU SAA HIZI WAKO KWENYE AJIRA YA KUWAFULIA HADI CHUPI ZAO. ANDIKENI KWENYE KATIBA MPYA HAMTAKI MATAJIRI WA KIHINDI KUJA HAPA NCHINI. MMEKUWA WEHU HATA MTU AKIJA ZAKE TOURS KAJA KUTUIBIA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wape vidoge vyao wabongo hao. Eti hata wakisikia harufu ha pilau kutoka nyumbani kwako wanasema eti ni kodi zao hizo. Wenzao wakifanya kazi kwa bdii wakipandishwa vyeo wanasema wanapendelewa. Wao wamejipaka kinyeshi? Acheni midomo!

      Delete
  32. Joseph Kaaya wewe una takwimu za lini? kabla ya kumcritique mwenzako lazima uwe na evidence na source of evidence na niyalini (latest?). maana utajiri sio kitu static, watu wanapata faida na kufilisika pia. Usiwe mwepesi kukosoa bila ya kufanya utafiti wa kina na wewe.

    ReplyDelete
  33. Kaaya,
    Mbona katika hii listi ya matajiri simuoni hata mtaanzania mmoja? Hata Lowassa haonekani? Watanzania wamejenga tabia ya kuona kwamba kila mfanyabiashara ni mwizi. Wewe unaishi Marekani na nafikiri unaweza ukaona wazi wazi udhaifu sisi tuliokuwa nao. Kwanani tusikae tukaangalia mapungufu yetu? Tatizo letu kubwa ni kukosa "exposure" na ile sera ya ujamaa tuliokuwa nayo kwenye damu. Kama hawa wanaohakiki mikataba ni wazelendo kweli mimi sidhani kama tunahitaji kuangalia rangi au nafsi ya mtu fulani. Ni vigumu pia kutegemea kwamba mmbogo aliyesoma UDSM akashindana na "mtu" ambaye amesomea STANFORD, YALE au LONDON SCHOOL OF ECONOMICS. Upeo wa kuangalia mbali lazima utatofautiana na utaegemea kwa upande wa wale walisoma shule za maana!!! Tujiangalie sisi wenyewe kwanza kama ni wazalendo kiasi gani. Clean your own house before attempting to clean others.

    ReplyDelete
  34. Tatizo la waandishi wetu ni kujaribu sana kusifia hata kile ambacho hakipo. Mwandishi alifikiri ya kuwa akimweleza huyu jamaa ya kuwa ni bilionea namba moja duniani atapata chochote. Ndiyo maana hata kwenye uchaguzi huu mkuu uliopita Dr.mmoja ambaye alipewa huo U-Dr. mezani alikuwa anapambwa sana hata kuliko Ma-Dr. na Ma-PRoff. wa kweli. Huo ndio utamaduni wa uandishi wetu.

    ReplyDelete
  35. Replies
    1. Open Letter From Valerian Family!
      Dear all in the name of Jesus our Lord and savior.

      I have been keeping quiet for some times, but Jesus calls us all to use our intuitions and speak out the truth and only the Jesus kind of truth that he died on the cross for. I'm Valerian Family member and I had the greatest opportunity to talk to him every other Sunday, and I saw him in his last days fading away. It was the hardest thing to see a fellow human being going through. Only Lord God Jehovah can understand the pain and anguish of his passing, yet the kind of things this young family is going through, sadly from the very people who are suppose to guide and protect this young family.

      The history is as bad to the point that Some Balthazar Family members got so hateful and jealous to ask publicly "Why there is no death in the Valerian's Family? OR "why none of the Valerian's children are dying like ours?". This is kind of things that growing to this level can lead such hatred to deceive people and take matters on their hands to cause death, as they wish it so bad. But what they dont understand, there is God and that the widow, Mama Pendo, was a nurse first before she became a teacher, who could health identify problems of her kids at very early stage and seek medical treatments. While some family members, possibly, were going for traditional medicine and possibly let sickness grow on to their children beyond repair. But when faith is involved you cannot just fade it away as simple as i explained above, or just wipe out the decades of hatred. We need help and that help is from the institution like yours. More payers and God given guidelines. We need it desperately.

      We have a problem. It is problem rooted in the Chagga People Tradition of invading widows' home and oust them and their children to fend for themselves after the father, head of the family as God divinely granted them, passes away. This is done without remorse and no one, even the most educated and or exposed to the Western Civilization Culture life style are doing it and or witnessing it in their own families and don't say or do a thing about it, in spite of their knowledge that is not the right thing to do. It is bothering because I know my mother in-law and I know Auntie Florentina Masawe and Bernadin Marselian Masaawe and I have see and studied their moves. There is an issue of Uru People against Women from Marangu and married in Uru. It is hateful and dangerous and need your and our attention all
      This instrument of spreading the word of God can be used wisely and justly to become an agent of change and change that is needed now. Unfortunately, the laws are so vague and have so much gray area that the devil is using them to advance the oppression against widows and the vulnerable.

      You see, God gave us everything to better our relationship with him, but the devil as master minder, manipulator in chief, lair, master musician, master negotiator and destroyer, uses the same world we were given by God through the free-will, including laws and traditions, to destroy us. That is the truth and that is the Jesus Kind Of Truth that Jesus was Crucified for on the Cross and ultimately die for, so we can be salivated. Understanding the truth and the world that we are living is the key path to God in Heaven.

      Please, visit this Link here and evaluate all the facts by yourself and see how God sent you to help in this. We need prayers because this is the spiritual warfare that need prayers than just laws, rules and regulations. The devil is riding up in here hard and we need all the prayers we can get. http://florentinamasaweinvadesvalerianhome.blogspot.com/

      God is great and keep on the good job of God. A we say Amen!!!!!!!!!!!!!

      Hope, on Behalf of Valerian Family.

      Delete
  36. lazima tujue majira na nyakati. opportunities pia tuzione. Huyu ni mtalii tajiri. It doesnt matter ni wa ngapi. Fact ni kwamba anazo. Nina wasiwasi sana kuwa hata huyu naye pia charges zake huko Serengeti ni sawa na foreigner yoyote wa kawaida. Kumbe ilikuwa ni wakati wa kupata fedha ya nchi. Tanapa wenyewe wapo kimya mno sijui sijui......

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haki ya mungu ukikaa kijiwe kupiga domo lazima suruali itoboke. Mtahesabu magari ya wenzenu mpaka mtachoka. Fanyeni kazi wabongo. Msiangalie nani mgeni kaja. Nsahajua ndiyo maana mnalilia chupi za mitumba. Mbona wamevaa hao hao wahindi na wazungu. Sasa wakija kuwatembele mnalialia nini. Mbona mmevaa chupi walizokwisha kuzivaa. Bisheni na hilo kama kweli ni wapigania haki na ni watu wakweli

      Delete
  37. ebu achene kubishan, nanyi fanyeni kazi kwa bidii muwe matajiri, kazi kujadiri u utajiri wa wenzenu

    ReplyDelete
  38. Hizo ni dalili za uzembe,badala ya kuchapa kazi mnaanza kubishana.Kiukweli kila mgeni anayefika TZ anakuwa na interest yake,wapo wezi,wapo watarii na wengine.So utakuja kumjua kma huyu ni mwizi baada ya kuono nini anakifanya pindi yupo humu nchini.Fanyeni kazi vijana....

    ReplyDelete
  39. mm nafikiri tunatkiwa kujadili jambo ambalo jamaa kajia na c utajiri wake maana kama hakuja kuwekeza hauna faida kwetu, na kwa nn aende serengeti ambako cc tupo kwenye operation tokomeza ujangiri! asije akaja na yake bhana.

    ReplyDelete